Lamentations 3:34-36


34Kuwaponda chini ya nyayo
wafungwa wote katika nchi,
35 aKumnyima mtu haki zake
mbele za Aliye Juu Sana,
36 bkumnyima mtu haki:
Je, Bwana asione mambo kama haya?
Copyright information for SwhNEN